Breaking News

HABARI KATIKA PICHA BUNGENI LEO

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa papo, Bungeni Jijini Dodoma leo.
 
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Suleiman Jaffo akizungumza na Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule.
   NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Faustine Ndugulile,  akijibu swali.
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, akijibu swali.
KASSIM Majaliwa, akifurahia jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Suleiman Jaffo.
  NAIBU Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, akizungumza Bungeni
MAJALIWA akisalimiana na Mbunge wa Hanang, Mary Nagu.
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia.
 (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments