Breaking News

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA WAKUU WA WIZARA YA KILIMO, MRAJIS WA VYAMA VYA USHIRIKA, MKURUGENZI MKUU WA BODI YA KAHAWA, WAKUU WA MIKOA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA KUTOKA KATIKA MIKOA INAYOLIMA ZAO LA KAHAWA JIJINI DODOMA LEO

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika  kikao kati yake na
viongozi wakuu wa Wizara ya Kilimo, Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa, Wakuu wa Mikoa na Viongozi wa Vyama  vya Ushirika kutoka Mikoa inayolima zao la Kahawa. Kikao hicho kilifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa Jijini Dodoma leo. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MAJALIWA akizungumza katika kikao hicho. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama  na Waziri wa Kilimo , Dk. Charles Tizeba.

BAADHI ya washiriki wa kakao hicho wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

No comments