Breaking News

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI UJENZI WA MSINGI WA JUKWAA KUU LA UWANJA WA MICHEZO KATIKA MJI MDOGO WA RUANGWA, MKOANI LINDI LEO.

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa (kushoto), akimsaidia kubeba tofari Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, mkoani Lindi, Hassan Masala, wakati aliposhiriki katika ujenzi wa msingi wa jukwaa kuu la uwanja wa michezo unaojengwa na wananchi  katika eneo la Dodoma, mji mdogo wa Ruangwa leo.
 MAJALIWA akichimba msingi wa  jukwaa kuu la uwanja wa michezo unaojengwana wananchi  kwenye eneo la Dodoma katika mji mdogo wa Ruangwa.
 WAZIRI Mkuu, akikagua nyasi zilizooteshwa kitalaamu wakati alipshiriki katika ujenzi wa msingi wa jukwaa kuu la uwanja wa michezo.
MARIAM Bakari, akisaidiwa kubeba tofari na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati aliposhiriki ujenzi wa msingi wa uwanaja wa michezo. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na watatu  ni  Mbunge wa Nachingwea, Hassan Masala.
MAJALIWA akimkabidhi mkopo wa sh. 200,000 usiokuwa na riba Khadija Madoa, ambaye ni Mama lishe anayeuza chakula katika mji mdogo wa Ruangwa, baada ya kushiriki ujenzi huo ambapo jumla ya sh. milioni tisa zilitolewa na mfanyabiashara Abdallah Mang'onyola kwa ajili ya mikopo kwa Mama lishe 42.
MAJALIWA akihutubia wananchi walioshiriki ujenzi huo.
WAZIRIi Mkuu, akikagua ujenzi wa Zahanati ya Nandagala wilayani Ruangwa. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments