Breaking News

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA KATIKA MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI LEO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Morogoro Mjini, Aziz Abood.
WAZIRI wa Kilimo, Dk. Charles Tizeba, akiwasilisha  Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara Kilimo ya 2018/2019.
MAJALIWA akizungumza na Mbunge wa Hanang, Mary Nagu.
WAZIRIMkuu akizungumza na Mbunge wa Vunjo, James Mbatia.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Dar es salaam International School, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments