Breaking News

RAIS MAGUFULI ACHUKUA HATUA BAADA YA KUZAMA KWA KIVUKO CHA MV NYERERE.

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, amefanya utenguzi wa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini (SUMATRA) mhandisi dkt John Ndunguru na kuivunja bodi hiyo kuanzia leo tarehe 24 september kama inavyo eleza taarifa kutoka Ikulu jijini Dar es salaam.

No comments