Breaking News

HATIMAYE MO APATIKANANa Mwandishi Wetu.
Mfanya biashara maarufu na mwekezaji wa klabu ya Simba   Mohamed Dewj ‘MO’ ambaye alitekwa kwa takribani siku 9 hatimaye usiku wa kuamkia leo ameachiwa na watekajI.

Kwa taarifa zilizotufikia ‘Mo’ aliachiwa na kutupwa maeneo ya viwanja vya GYMKANA, huku akiwa na alama za kufungwa kamba lakini yuko salama.

Taarifa kamili itakujia hapo baadae endelea kutembelea blog yetu>>>>>>>>>

No comments