Breaking News

Katibu Mkuu was CCM, Dk. Bashiru Ally na ujumbe wake warejea nchini kutoka China, leo

 Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akizungumza na waandishi wa Habari, baada ya kuwasili jana, Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, akitokea nchini China, ambako alikua katika ziara ya kikazi yeye na ujumbe wake.
 Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akiingia ukumbini kuzungumza na waandishi wa Habari, baada ya kuwasili jana, Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, akitokea nchini China, ambako alikua katika ziara ya kikazi yeye na ujumbe wake Wapili kulia ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga
 Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally kuzungumza na Waandishi wa habari. Kulia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Kheri James
  Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akizungumza na waandishi wa Habari, baada ya kuwasili jana, Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, akitokea nchini China, ambako alikua katika ziara ya kikazi yeye na ujumbe wake.
  Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akizungumza na waandishi wa Habari, baada ya kuwasili jana, Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, akitokea nchini China, ambako alikua katika ziara ya kikazi yeye na ujumbe wake.
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Ramadhani Maneno na Msimamizi Mkuu wa Vyombo vya habari vya CCM Ernest Sungura wakiwa kwenye mkuano huo wa katibu Mkuu wa CCM na waandishi wa habari. Viongozi hao ni mingoni mwa walioambatana na Katibu Mkuu nchini China.
Mwenyekiti wa UWT Gaudentia Kabaka na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha wakiwa kwenye mkutano huo.

No comments