Breaking News

TANZIA:ALIYEKUWA DIWANI WA CCM , MAGOMENI NA MMILIKI WA GREEN ACRES JULIAN BUJUGO AFARIKI DUNIA.Na Mwandishi wetu.
Aliye kuwa Diwani wa Magomeni kupiti chama cha mapinduzi (CCM),Juliani Bujugo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo October 18,2018 katika hospitali ya Masana alipokuwa akipata matibabu.


Juliani Bujugo  mwenyekiti na mmilikiwa shule ya Green Acres alikuwa akisumbuliwa na shinikizo la damu na sukari, taratibu za mazishi zinaendelea na marehemu atasafirishwa kwenda kuzikwa nyumbanin kwao Bukoba. Kwa sasa  Msiba upo nyumbani kwake Jangwani Mbezi Beach.

No comments