Breaking News

WAZIRI LUKUVI AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI KILIMANJARO LEO.


Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhae William Lukuvi akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kushughulikia migogoro ya ardhi katika wilaya za Hai, Moshi na Same mkoa wa Kilimanjaro tarehe 25 hadi 27 Oktoba 2018.

No comments