Breaking News

SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI KILICHOFANYIKA LEO TAREHE 5 NOVEMBA 2018 KATIKA OFISI YA BUNGE JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai aongoza kikao cha kamati ya Uongozi kilicholenga kujadili na kupokea Shughuli za Mkutano wa kumi na Tatu wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano, Pia Kupokea hati ya dharura ya Muswada wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha wa Mwaka 2018 (The Microfinance Bill, 2018); kilichofanyika leo tarehe 5 Novemba 2018 katika ukumbi wa Spika Jijini Dodoma. Ikiwa ni Maandalizi ya kuanza kwa Vikao vya Bunge vinavyotegemea kuanzia kesho Novemba 6, 2018 Jijini Dodoma

No comments