TIMU ZA BUNGE ZA MPIRA WA MIGUU NA PETE ZAJIFUA VIKALI KWA AJILI YA KUJIANDAA KUSHIRIKI KUSHIRIKI MICHUANO YA MABUNGE YA AFRIKA MASHARIKI INAYOTARAJIWA KUFANYIKA BUNJUMBURA, NCHINI BURUDI MWEZI UJAO.
KIPA wa timu ya mpira wa miguu ya Bunge ya ‘Ndugai Boys’, Hamidu Bobale (Mbunge), akidaka
mpira wakati wa mazoezi yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma, tayari kwa kushiriki michuano ya
Mabunge ya Afrika Mashariki inayotarajiwa kufanyika Bujumbura Nchini Burundi mapema mwezi ujao.
1.
KOCHA Msaidizi wa
Timu ya Bunge ya ‘ Ndugai Boys’ Ahmed Juma Ngwali (Mbunge),, akitoa maelekezo kwa wachezaji kabla ya
kuanza mazoezi katika uwanja wa JamuhuriJjijini
Dodoma.
Mchezaji wa Timu ya Mpira wa Pete ya Bunge, Anna Gidarya (Mbunge), akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Timu ya Wizara ya Afya wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya timu hizo. Bunge Queens inajiandaa na michezo ya Mabunge ya Jumuia ya Afrika Mashariki itakayofanyika Jijini Bujumbura Nchini Burundi kuanzia Desemba mosi mwaka huu
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi ambaye ni mchezaji wa Timu ya Mpira wa Pete ya Bunge, Angelina
Mabula (Mbunge), akidaka mpira mbele ya wachezaji wa Timu ya Wizara ya Afya wakati wa
mchezo wa kirafiki baina ya timu hizo. Bunge Queens inajiandaa na michezo ya
Mabunge ya Jumuia ya Afrika Mashariki itakayofanyika Jijini Bujumbura Burundi
kuanzia Desemba mosi mwaka huu
1.
KIPA wa wa ‘Ndugai Boys’, Hamidu Bobale (Mbunge), akifanya 'vitu vyake'.
MCHEZAJI wa Timu ya mpira wa Pete ya Bunge Hawa Mwaifunga (Mbunge), akirusha mpira mbele ya wachezaji wa Timu ya Wizara ya Afya, wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya timu hizo. Bunge Queens inajiandaa na michezo ya Mabunge ya Jumuia ya Afrika Mashariki itakayofanyika Jijini Bujumbura, Nchini Burundi kuanzia Desemba mosi mwaka huu. (Picha zote na Ofisi ya Bunge).
No comments