Breaking News

MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM NA MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KAMATI YA SIASA MKOA WA PWANI.

 MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mbunge  wa Jimbo la Kibaha Mjini, Silvestry Koka pamoja na viongozi wengine wa CCM mkoani Pwani leo Desemba 20, 2018 mara baada ya kuwasili kwenye hafla fupi ya utambulisho kama Mlezi wa Chama hicho mkoani humo (Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais).SANIA, akisalimiana na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kibaha Mjini, i. Azilongwa Bohari pamoja na viongozi wengine wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Pwani.

 SAMIA na viongozi wengine wa CCM wakiimba nyimbo za kukisifu chama hicho. MJUMBE wa Kamati Kuu Samia akisisitiza jambo wakati akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa Mkoani humo (hawapo pichani. 

MJUMBE huyo wa Kamati Kuu Samia Suluhu, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Pwani.

No comments