Breaking News

MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK. JOHN MAGUFULI, AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

         KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally, akiongea kabla ya ufunguzi wa  kikao cha   Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar Salaam leo Desemba 18, 2018
         Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli, akifungua kikao cha    Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dar Salaam leo Desemba 18, 2018.
                                                     DK. Magufuli akifungua kikao hicho.                                     MAGUFULI akisisitiza jambo katika kikao hicho.
MWENYEKITI wa Chama, Rais Magufuli, akiongoza kikao hicho. (Picha zote na Ikulu).

No comments