Breaking News

RAIS DK. MAGUFULI AMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MZEE. ALI HASSAN MWINYI ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM.

  Dk. Maggufuli,  wakiomba dua maalumu na Mzee Mwinyi, Mkewe Mama Khadja Mwinyi,  na mtoto wake Abdallah Mwinyi.

Rais Magufuli, akizungumza na Mzee Mwinyi

RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli, akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee. Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali  Jijini Dar es Salaam, leo Desemba 5, 2018. Katikati Mke wa Mzee Mwinyi, Mama Khadjai.

RAIS Dk. John Magufuli, akiagana na Mama Khadja Mwinyi, alipomtembelea kumjulia hali  Mzee Mwinyi Jijini,  Dar es Salaam. Leo Desemba 5, 2018. (Picha na IKULU).

No comments