Breaking News

KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA AFYA DK. ZAINAB 'ATIGA' WIZARANI MUDA MFUPI BAADA YA KUAPISHWA IKULU, AKABIDHIWA OFISI.

  WAZIRI  wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu (kulia),  akimkaribisha Katibu Mkuu mpya wa Idara Kuu Afya Dk. .Zainab Chaula, kwenye Ofisi Ndogo za wizara hiyo zilizopo Jijini Dar es Salaam leo Januari 9, 2019 muda mfupi mara baada ya kuapishwa na Rais Dk. John Magufuli, kushika wadhifa huo, Ikulu, Dar es Salaam.
  WAZIRI wa Afya, Maendekeo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akimsikiliza Katibu Mkuu mpya.

 KATIBU Mkuu mpya Dk. Zainab akizungumza baada ya kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa akishikiria nafasi yake Dk.Ulisubisya.
                                                DK. Zainab
  WAZIRI wa Afya, Maendekeo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akipitia baadhi ya nyaraka.

 NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Faustine Ndugulile, akitoa neno la ukaribisho wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya
 ALIYEKUWA Katibu Mkuu-Idara Kuu Afya Dk. Mpoki Ulisubisya akimkabidhi baadhi ya vitendea kazi Katibu Mkuu Mpya Dk. Zainab Chaula kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya Wizara Jihini Dar es Salaam

WAZIRI (kulia), Ummy akisalimiana na Dk. Zainab.


 PICHA ya pamoja ya viongozi wa wizara hiyo na baadhi ya watumishi waliopo ofisi ndogo ya wizara.

No comments