Breaking News

MAJALIWA AKUTANA NA VIONGOZI WA CWT TAIFA.


WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa,  akizungumza na Viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Taifa, Ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa, Jijini Dodoma leo Januari 25, 2019. Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais , Deus Seif, Mweka Hazina , Abubakar Allawi, Katibu Mkuu, Christopher Banda na Rais wa CWT , Leah Ulaya.(Picha na Ofisi   ya Waziri Mkuu).

No comments