Breaking News

MAJALIWA AMJULIA HALI DK. SALIM.


 WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary,  wakisindikizwa na Waziri Mkuu Mstaafu Dk. Salim Ahmed Salim, wakati walipokwenda kumjulia hali Salim Jijini Dar es Salaam jana Januari 6, 2019. Watatu kushoto ni Mwama Amen Salim. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).
MAJALIWA (kulia),  akisindikizwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Dk. Salim.

No comments