Breaking News

MAJALIWA ASHIRIKI KATIKA DUA YA KUMSHUKURU MUNGU MKESHA WA MWAKA MPYA.

 WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake katika Kijiji cha Namahema, wilayani Ruangwa,  kwenye mkesha wa mwaka  mpya  kushiriki katika   Dua ya kumshukuru Mungu kwa kuwajaalia Watanzania na viongozi wao kuumaliza salama mwaka 2018 na kumuomba Mungu aendelee kulilinda Taifa letu na viongozi wake kwa mwaka 2019. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 MAJALIWA, akisalimiana na baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake kushiriki katika Dua.

KASSIM Majaliwa, akitazama saa wakati alipojumuika na ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake katika Kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa kwenye mkesha wa mwaka mpya.


Waziri Mkuu, akizungumza na ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake katika Kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa, kwenye mkesha wa mwaka  mpya.

No comments