Breaking News

MAJALIWA AWASILI SONGEA KUANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUVUMA.


 WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Songea kuanza ziara ya kikazi mkoani  humo leo Januari 2, 2019. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).


MAJALIWA, na mkewe Mary (wapili kulia) wakisalimiana  na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ruvuma, Oddo Mwisho,  wakati walipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Songea .Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama na watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina, Mndeme. 
 
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina. Kulia ni mkewe Mary Majaliwa.

No comments