Breaking News

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA INAYOLIMA PAMBA KATIKA MKUTANO ALIOUONGOZA KWA NJIA YA VIDEO AKIWA OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa inayolima zao la pamba  ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Geita, Kagera, Singida na Tabora  katika kikao alichokiongoza kwa njia ya video akiwa Ofisini kwake jijini Dodoma, Januari 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments