Breaking News

SAMIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS IHUMWA DODOMA.

 MAKAMU wa Rais,  Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo, mara baada ya kuwasili katika eneo linalojengwa Ofisi ya Makamu wa Rais Ihumwa Dodoma, jana Januari 13, 2019. (Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais).
 SAMIA, akipata maelezo ya kina juu ya maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Ihumwa Dodoma kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira,  January Makamba.

 KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhandisi Joseph Malongo, akielezea namna jengo la ofisi ya Makamu wa Rais litakavyokuwa mara baada ya ujenzi kukamilika katika eneo la Ihumwa, Dodoma.

   WAZIRI Makamba akitoa maelezo kwa  Samia.
 MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan akikagua  maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Ihumwa Dodoma. Kushoto ni Waziri Makamba na Katibu Mkuu wake Mhandisi Joseph Malongo
 MAKAMU wa Rais, Samia akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali aliofuatana nao.
                         MUONEKANO wa sehemu ya jengo hilo.

SAMIA akipanda mti wa kumbukumbu  mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Ihumwa Dodoma.

No comments