Breaking News

WAZIRI MKUU AFUNGUA JENGO JIPYA LA TAASISI YA KARUME.

 
 KASSIM Majaliwa akiweka jiwe la msingi wa jengo
jipya la Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia, iliyopo Mbweni Wilayani Magharibi ‘B’  Unguja leo Januari 8, 2019. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 MAJALIWA akiangalia kitabu kwenye maktaba ya jengo hilo jipya la Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia.


WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mfumo wa umeme uliyebuniwa na mwanafunzi Abdulhamid Marijani, baada ya kufungua jengo jipya la Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia, iliyopo Mbweni Wilayani Magharibi ‘B’  Unguja.

WAZIRI Mkuu akizungumza na mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Kitengo cha Kompyuta Safaa Haroub, baada ya kuweka jiwe la msingi wa jengo hilo jipya la Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia.


WAZIRI  Mkuu Kassim Majaliwa,  akikata utepe kufungua jengo jipya la Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia, iliyopo Mbweni Wilayani Magharibi ‘B’ - Unguja.

No comments