Breaking News

KUISHUHUDIA KARIAKOO DERBY NI BUKU 7 TUU.SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio katika mchezo wa Watani wa Jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba vikiwa vimegawanywa katika makundi matatu ambapo kiingilio cha chini zaidi kitakuwa ni shilingi 7,000 kwa viti vya mzunguko.

Viingilio vingine katika mchezo huo wa duru ya pili ya ligi kuu Tanzania bara utakaopigwa Jumamosi Februari 16 saa 11:00 jioni vitakuwa ni shilingi 30,000 kwa VIP A na 20,000 kwa VIP B na C.


No comments