Breaking News

MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA OFISI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua ujenzi wa Ofisi  ya Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo, Februari 19, 2019. 

Majaliwa  akikagua ujenzi wa Ofisi  ya Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo, Februari, Wapili kulia ni mkewe Mary. 

Majaliwa  akifurahia baada ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, Februari 19, 2019. Kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Joyce Ndalichako na wapili kushoto ni Mbunge wa Buyungu, Christopher Chiza.(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments