Breaking News

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU KATIKA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia akihutubia wakati wa hafla ya utoaji Tuzo ya Kiswahili ya Mabati –Cornell ya Fasihi ya Afrika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.


Makamu wa Rais Samia Suluhu akimkabidhi cheti cha ushindi wa tuzo ya Fasihi Jacob Ngumbau.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


No comments