Breaking News

MWEKA HAZINA KOROGWE AONYWA KWA UTENDAJI USIORIDHISHA.Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mary Mwanjelwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe na Halmashauri ya Mji wa Korogwe, wakati wa kikao kazi na watumishi hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao kabla ya  kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF Halmashauri hizo. 
 

Baadhi ya watumishi wa umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe na Halmashauri ya Mji ya Korogwe wakimsikiliza Naibu Waziri, Mary Mwanjelwa (hayupo pichani)  
 

Naibu Waziri, Mary Mwanjelwa akiteta jambo na Katibu Tawala Mkoa wa Tanga, Zena Said, kabla ya kuzungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe na Halmashauri ya Mji ya Korogwe. 
 

Naibu Waziri, Mary Mwanjelwa akisisitiza uadilifu kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe na Halmashauri ya Mji ya Korogwe.

No comments