Breaking News

PICHA: MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM YA MKOA WA KAGERA.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati  Kuu ya CCM Taifa akifungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa wa Kagera kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba, Februari 21, 2019. 


Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa wa Kagera wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wao kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba, Februari, 21, 2019. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments