Breaking News

PICHA: ZIARA YA MAKAMU WA RAIS IKUNGI MKOANI SINGIDA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu akisalimiana na Naibu Waziri wa Ujenzi  Elias Kwandikwa mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Uliyampti tayari kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Uliyampiti, Ikungi ambapo mradi huo utawanufaisha wakazi 2628. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Mtaturu (kushoto), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu pamoja na Mkuu wa mkoa wa Singida Rehema Nchimbi wakifurahia mara baada ya Makamu wa Rais kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha 
Uliyampiti ambapo mradi huo wa maji utawahudumia wakazi 2628. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu akifungua maji kama ishara ya uzinduzi wa huduma ya maji katika kijiji cha Uliyampiti, Ikungi ambapo mradi huo utawanufaisha wakazi 2628. (Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais)


No comments