Breaking News

PICHA:MAJALIWA KATIKA KIKAO NA WAFANYABIASHARA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na  wafanyabiashara wa kati na wadogo wa Kariakoo kwenye ukumbi wa Anatouglo jijini Dar es salaa, Februari 28, 2019.  Kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya wafanyabiashara wa kati na wadogo wa Kariakoo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akizungumza katika kikao cha wafanyabiashara wa kati na wadogo alichokiitisha, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments