Breaking News

UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA UNAENDELEA DODOMAMafundi na wahandisi wa Kampuni ya FEERUM SA wakikamilisha ujenzi wa msingi wa moja ya maghala katika Mradi wa Ujenzi wa Maghala na Vihenge vya Kisasa vya kuhifadhia chakula unaojengwa  na Serikali katika eneo la Kizota jijini Dodoma, Februari 13, 2019. Ujenzi huo umepangwa kukamilika  Desemba mwaka huu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments