Breaking News

SHEREHE YA MWAKA MPYA WA 2019 YA RAIS DK. MAGUFULI NA MABALOZI WANAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI, ZILIZOFANYIKA IKULU, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO.

 Rais Dk. John  Magufuli akizungumza na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini katika Sherehe za Mwaka mpya wa 2019 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.

 Baadhi ya Mabalozi wakipiga makofi wakati Rais Dkt. John Magufuli alipokuwa akihutubia katika Sherehe za Mwaka mpya wa 2019 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Rais Dk. John Magufuli akiwa na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini kabla ya chakula cha jioni alichowaandalia Mabalozi hao katika Sherehe za Mwaka mpya wa 2019 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. PICHA NA IKULU

No comments