Breaking News

MAJALIWA ATOA POLE KWA FAMILIYA YA MTANGAZAJI WA CLOUDS FM, EFRAIM KIBONDE


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Samson Job Kibonde ambaye ni baba mzazi wa Mtangazaji wa Cloud FM, Ephrim Kibonde wakati alipokwenda nyumbani kwao marehemu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia, Machi 8, 2019. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa Clouds Media, Joseph Kusaga.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Samson Job Kibonde ambaye baba mzazi wa Marehemu Ephrim Kibonde. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimfariji Hilda Samson Kibonde ambaye ni mama mzazi wa Ephraim Kibonde wakati alipokwenda nyumbani kwao  marehemu. 

Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya  Efraim Kibonde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 

No comments