Breaking News

PICHA: UFUNGUZI WA KONGAMANO LA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kongamano la Kitaifa la Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto kwenye ukumbi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Dar es salaam (DUCE), Machi 21, 2019.
 

Baadhi ya Washiriki  wa Kongamano la Kitaifa la Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua  Kongamano hilo kwenye ukumbi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Dar es salaam (DUCE), Machi 21, 2019. 
 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Tanzania   Mstaafu, Bibi Helen Kijo Bisimba  baada ya kufungua Kongamano la Kitaifa la  Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto.

No comments