Breaking News

PICHA:MAJALIWA KATIKA UKAGUZI WA MIRADI MBALIMBALI RUANGWA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa hospitali ya Wilaya Ruangwa Machi 16.2019 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mamantilie Asha Livembe (aliyesimama) na Asha Mluki (kushoto) baada ya kukagua ujenzi wa mradi wa hospitali ya Wilaya Ruangwa Machi 16.2019.
 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mhandisi Mshauri Edgar Rugemalila, wakati akimuonesha mchoro wa ghala la Wilaya ya Ruangwa kabla ya kukagua ujenzi wa ghala hilo wilayani Ruangwa Machi 16.2019.
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa ujenzi wa ghala wilayani Ruangwa Machi 16.2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments