Breaking News

PICHA:MAJALIWA NDANI YA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA TBS.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakati alipotembelea ofisi za  TBS,  Ubungo jijini Dar es salaam, Machi 6, 2019.  Kulia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya, wa tatu kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na wa nne kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angela Kairuki. 

 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu upimaji wa vifaa vya umeme kutoka kwa Mhandisi  Anectus Nduguru wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS). 

 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu upimaji wa betri kutoka kwa Mhandisi  Anectus Nduguru wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Cunbert Kapilima wa Shirika la Viwango Tanzania  -TBS (kushoto) kuhusu upimaji wa ubora wa magunia unaofanywa na TBS (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments