Breaking News

RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.


 
 Rais wa Tanzania Mheshimiwa John  Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Ikulu jijini Dar es Salaam.

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame mara baada ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.

 
Rais wa Tanzania Mheshimiwa John Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame kabla ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.

 
Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Rais wa Tanzania Mheshimiwa  Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

No comments