Breaking News

TAARIFA KUTOKA TANESCO


SHIERIKA  la Umeme Tanzania linawataarifu Wateja wake wa Mikoa ya  Mwanza, Geita na Mara kuwa  leo Machi 16, 2019 majira ya Saa 2:52 usiku  imetokea hitilafu kwenye "breaker" ya kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Ibadakuli na kupelekea Mikoa hiyo kukosa huduma ya umeme. Wataalamu wetu na mafundi wanaendelea na kazi ili kurejesha umeme mapema iwezekanavyo.

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.

Tovuti: www.tanesco.co.tz

No comments