Breaking News

TAT YAKUTANA USO KWA USO NA WAZIRI KAMWELE DODOMA.


Uongozi wa Transporters Association of Tanzania (TAT)ukiongozwa na Rais wake Bwana Mohammed A. Es-haq,leo tarehe 20 Machi 2019 ulikutana na  Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhandisi Isaack Kamwelwe ambapo walijadili mambo mbali mbali yanayojili kwenye sekta ya usafirishaji. Mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dodoma.

Ujumbe huo pia ulionana na Katibu Mkuu wa Wizara Archt. Mwakalinga

No comments