Breaking News

BAAADHI YA MATUKIO YALIYO TOKEA BUNGENI LEO.


Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu (kushoto), Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019 katikati ni Mbunge wa Viti Maalum Salma Kikwete. 
 
Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Angela Kairuki, akiongea Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019.
 
Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo, akiongea Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019. 
 
 Majaliwa akiongea na Waziri  wa TAMISEMI Suleiman Jaffo, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2019. 
 
Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)

No comments