Breaking News

BAADHI YA MATUKIO YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anaye shughulikia Uwekezaji, Angellah Kairuki  akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Stellah Ikupa Kwenye ukumbi wa Bunge jijini Dodoma baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2019/2020, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2019.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Bibi Maimuna Tarishi  (kushoto) na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) , Bibi Dorothy Mwaluko wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments