Breaking News

KAMATI YA USIMAMIZI YA MAAFA MWANZA YAFANYA SEMINA YA MAFUNZO.


Baadhi ya Wajumbe wa Kamati  wa Usimamizi wa Maafa ya Mkoa wa Mwanza wakifuatilia mafunzo ya Kuijengea Kamati hiyo uwezo wa Usimamizi wa Maafa , leo tarehe 17Aprili, 2019, jijini Mwanza, Mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu , Idara ya Uratibu Maafa.


Mkuu wa  Mkoa wa Mwanza, Jo-hn Mongella  akifafanua umuhimu wa kuwa na Kamati za Usimamizi wa Maafa katika ngazi za serikali za mitaa wakati wa Mafunzo kwa Kamati ya Usimamizi wa Maafa ya Mkoa huo, leo tarehe 17Aprili, 2019, jijini Mwanza., kulia ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri  Mkuu, Jimmy Matamwe, Mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu , Idara ya Uratibu Maafa.                                 


Mkuu wa  Mkoa wa Mwanza, John Mongella  akisalimiana na mjumbe wa  Kamati ya Usimamizi wa Maafa ya Mkoa huo, Shekh, Hassan Kabeke mara baada ya kufungua mafunzo ya kuijengea uwezo  Kamati hiyo, leo tarehe 17Aprili, 2019, jijini Mwanza, Mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu , Idara ya Uratibu Maafa.

Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri  Mkuu, Jimmy Matamwe akifafanua  umuhimu wa kuwa na Mkakati wa Kupunguza madhara ya maafa, katikati ni Mkuu wa  Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella, kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa huo, Christopher Kadio, wakati wa Mafunzo kwa Kamati ya Usimamizi wa Maafa ya Mkoa huo, leo tarehe 17 Aprili, 2019, jijini Mwanza, Mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu , Idara ya Uratibu Maafa.

Mkuu wa  Mkoa wa Mwanza, John Mongella akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Wajumbe wa Kamati  wa Usimamizi wa Maafa ya Mkoa wa Mwanza mara baada ya kufungua  mafunzo ya Kuijengea Kamati hiyo uwezo wa Usimamizi wa Maafa , leo tarehe 17Aprili, 2019, jijini Mwanza.Mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu , Idara ya Uratibu Maafa.

No comments