Breaking News

KAMATI YA UTEKELEZAJI UVCCM YAFANYA UKAGUZI WILAYANI BAHI .


                  
Msafara wa kamati ya utekelezaji ya UVCCM Mkoa wa Dodoma, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bahi,DANFORD CHISOMI, wakati wa ziara ya UVCCM katika kata ya Mwitikira,wakati wakikagua ujenzi wa Madarasa na Mabweni.

Mkuu wa msafara wa kamati ya utekelezaji ya UVCCM Mkoa wa Dodoma, ambaye ni Mjumbe wa baraza wa UVCCM Taifa, WENSLAUS MAZANDA, akimkabidhi tishert ya  chama mwenyekiti  wa shina CCM, Mwitikira, wakati wa ziara ya UVCCM.

Mbunge wa viti maalumu MARIAM DITOPILE, akizungumza na wanachama wa CCM, hawapo pichani, wakati wa ziara ya  Kamati ya utekelezaji ya UVCCM Mkoa wa Dodoma wakati wa  ziara ya UVCCM, katika  kata ya Mwitikira.

Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mwitikira HAMIS SANG’WA, akitoa taarifa ya Shule hiyo, kwa Kamati  ya Utekelezaji  UVCCM  Mkoa wa Dodoma,( hawapo pichana), walipotembelea Shule hiyo kuangalia  utekelezaji  wa ilani  ya  Chama.

Mbunge wa viti maalumu anayewakirisha vijana MARIAM DITOPILE,  akipokea Dumu la Wine kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha MGWABI INVESTMENT COMPANY, ELIAS MGWABI, wakati wa ziara ya  UVCCM walipotembelea kiwanda  hicho kilichopo kata ya Mwitikira Wilaya ya Bahi.


No comments