Breaking News

MAGUFULI ASALI ALHAMISI KUU KWENYE KANISA KATOLIKI LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY, DAR ES SALAAM


 Rais Dkt. John Magufuli akiwa pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki akishiriki Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakiwa katika Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu kanisani hapo jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

No comments