Breaking News

MAGUFULI ATENGUA NA KUTEUA MKURUGENZI WA NYASA.


IkuluNdogo, Songea.

Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 09 Aprili, 2019 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilayaya Nyasa Mkoani Ruvuma  Dkt. Oscar  Mbyuzi.

Kufuatia uamuzi huo, Dkt. Magufuli amemteua Jimson Peter Mhagama kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa.
Uteuzi wa  Mhagama unaanza kazi mara moja leo tarehe 09 Aprili, 2019.

No comments