Breaking News

MAGUFULI NDANI YA MAJENGO YA IKULU CHAMWINO.

Rais Dkt. John Magufuli akifunua kitambaa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi wengine kuashiria Ufunguzi rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.

 
Dkt. Magufuli akipongezana na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kufungua rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Aprili 13,2019.

 
Dkt. Magufuli akipongezana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya kufungua rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Aprili 13,2019.

 
Dkt. Magufuli akikata utepe na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt.Modestus Kipilimba kuashiria Ufunguzi rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.

 
Dkt. Magufuli akikagua majengo mapya ya Ikulu Chamwino akiwa ameambatana na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt.Modestus Kipilimba pamoja na Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kufungua majengo hayo .Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.

 
Dkt. Magufuli akimsikiliza  Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka akielezea kuhusu mradi wa ujenzi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino huku akiwa ameambatana na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt.Modestus Kipilimba, mara baada ya kufungua majengo hayo .Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.

 
Sehemu ya majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Ambayo yamefunguliwa na Dkt. Magufuli. Aprili 13,2019.
PICHA NA IKULU


No comments