Breaking News

MAJALIWA ALIVYO WASILISHA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA OFISI YAKE.

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma Makadirio  ya Mapato na Matumizi  ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2019. Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde.

Majaliwa akisoma Makadirio  ya Mapato na Matumizi  ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments