Breaking News

MAJALIWA, NAIBU SPIKA WA BUNGE LA CAMEROON WAKUTANA DODOMA.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa ya utendaji ya Chama cha  Mabunge ya Jumuiya ya  Madola Kimataifa (CPA - INERNTIONAL) ya mwaka 2018 kutoka kwa  Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya CPA,  Emilia Monjowa Lifaka, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma Aprili 4, 2019. 

Majaliwa akizungumza na  Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimatifa (CPA-INTERNATIONAL), Mhe. Emilia Monjowa Lifaka, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dodoma, Aprili 4, 2019.

Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimatifa (CPA-INTERNATIONAL), Emilia Monjowa Lifaka (wa pili kushoto) baada ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dodoma, Aprili 4, 2019. Wa tatu kulia ni Mbunge wa Babati Vijijni, Mhe. Vrajilal Jitu Son  na wa pili kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum na Mwakilishi wa CPA tawi la Tanzania, Maria Kangoye.

Majaliwa akimwonyesha mandhari ya jiji la Dodoma, Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kimatifa (CPA-INTERNATIONAL), Emilia Monjowa Lifaka baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dodoma, Aprili 4, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments