Breaking News

PROF KABUDI AZUNGUMZA NA DIASPORA SWEDEN.


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, leo tarehe 9 Aprili, 2019, akiwa jijini Dodoma amefungua rasmi Kongamano la kwanza la Uwekezaji pamoja na Mkutano wa mwaka wa Diaspora wa Tanzania uliofanyika Stockholm, Sweden. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Mnyepe.
 
Prof. Kabudi na  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe wakifuatilia mkutano huo.
 
Prof. Palamagamba John Kabudi akifuatilia Mkutano.

No comments