Breaking News

SPIKA WA BUNGE LA BURUNDI AKUTANA NA KAMATI YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA.

Rais wa Seneti ya Burundi, Reverin Ndikuriyo akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati yeye na ujumbe wake walipotembelea Bunge la Tanzania na kukutana na kamati hiyo, pembeni yake ni Mwenyekiti wa Kamati, Mussa Zungu.

Rais wa Seneti ya Burundi, Mhe. Reverin Ndikuriyo akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mussa Zungu wakati Rais huyo pamoja na ujumbe wake walipotembelea Bunge la Tanzania na kukutana na kamati hiyo, pembeni yake ni Mwenyekiti wa Kamati, Mussa Zungu.

Rais wa Seneti ya Burundi, Reverin Ndikuriyo akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati yeye na ujumbe wake walipotembelea Bunge la Tanzania na kukutana na kamati hiyo, pembeni yake ni Mwenyekiti wa Kamati, Mhe. Mussa Zungu.

Rais wa Seneti ya Burundi, Mhe. Reverin Ndikuriyo akiagana na Mbunge wa Bunge, Mhe. Charles Tizeba wakati Rais huyo pamoja na ujumbe wake walipotembelea Bunge la Tanzania na kukutana na kamati Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama.
PICHA NA OFISI YA BUNGE

No comments