Breaking News

UVCCM WALIVYO ZUNGUMZIA MJI WA SERIKALI


Mbunge wa viti maalumu anayewakilisha kundi la vijana akitokea Mka wa Dodoma Mariam Ditopile akizungumza na wanahabari hawapo pichani wakati wa  tamko la kumpongeza Rais Magufuli kwa kuzindua Mji mkuu wa serikali.

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dodoma Billy Chidabwa wa tatu kushoto akiteta jambo na Mbunge wa viti maalumu Mariam Ditopile, wakati wa kutoa  tamko la kumpongeza Rais kuzindua Nji wa Serikali.

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dodoma Billy Chidabwa akizungumza na wanahabari hawapo pichani wakati wa kutoa tamko la kumpongeza Rais kwa kuzindua mji wa kiserikali.


No comments